Hadithi hii inahusu maisha ya Naeku na Naserian, mchwa wawili wafanyakazi wanaoishi kwenye kiota cha mchwa nchini Kenya. Kitabu hiki cha hadithi kilifadhiliwa na Lenovo Foundation mnamo 2023.